MHASIBU

  • CCM ( Chama cha Mapinduzi)
  • Iringa
Posted over 2 years ago
About the job
  • Job Type : Volunteering

  • Industry : Finance/Accountancy and Auditing/Business Administration

  • Education Level : Junior Level

Job Description

Ofisi ya CCM Mkoa wa  Iringa inatangaza kazi ya kujitolea kwa nafasi ya Uhasibu katika Ofisi ya CCM Mkoa. Muombaji awe na sifa zifuatazo :

  Sifa  za Muombaji 

  • Awe mwanachama wa CCM
  • Awe na taaluma ya Uhasibu ngazi ya Diploma na Kuendelea 
  • Awe mtiifu na msiri 
  • Awe na uzoefu na maswala ya Uhasibu 
  • Awe raia wa Tanzania 
  • Awe na umri ya miaka 20 - 45 

Ambatanisha Vitu  Vifuatavyo 

  • Barua ya maombi  
  • Vivuli vya vyeti 
  • Kivuli cha kadi ya CCM

Maombi yako leta ofisi ya  CCM   Mkoa au tuma kwa Barua pepe ya CCM Mkoa iringa@ccm.or.tz 


Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 30 Septemba 2021  saa 9:30 Alasiri 

.










About the Company

Chama cha Mapinduzi (CCM) 

CCM Mkoa wa Iringa 

Submit Application Now

You need to Login / Create an account in-order to apply for this job

Click here to Login