Job Type : Volunteering
Industry : Finance/Accountancy and Auditing/Business Administration
Education Level : Junior Level
Ofisi ya CCM Mkoa wa Iringa inatangaza kazi ya kujitolea kwa nafasi ya Uhasibu katika Ofisi ya CCM Mkoa. Muombaji awe na sifa zifuatazo :
Sifa za Muombaji
Ambatanisha Vitu Vifuatavyo
Maombi yako leta ofisi ya CCM Mkoa au tuma kwa Barua pepe ya CCM Mkoa iringa@ccm.or.tz
Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 30 Septemba 2021 saa 9:30 Alasiri
.
Chama cha Mapinduzi (CCM)
CCM Mkoa wa Iringa
You need to Login / Create an account in-order to apply for this job
Click here to Login